Inafanana na shirki kubwa na ndogo

54 – Nilimuuliza Shaykh wetu kama shirki ndogo inasamehewa au hapana?

Jibu: Ni sawa na shirki kubwa kwa kuwa inaadhibiwa bila kuepukika, na ni sawa kufanya dhambi kwa kuwa haipelekei kwenye kuwekwa milele ndani ya Moto isipokuwa kwa aliyetubia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 44
  • Imechapishwa: 07/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´