Inafaa kwake kusoma Qur-aan bila kizuizi chochote

Swali 111: Ni ipi hukumu ya mwanamke mwenye hedhi kusoma Qur-aan?

Jibu: Inafaa kwake kusoma Qur-aan bila kizuizi chochote, ni mamoja anaogopa kuisahau au haogopi. Si sahihi kumlinganisha mwenye hedhi na mtu mwenye janaba; kuna tofauti kati yao.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 61
  • Imechapishwa: 17/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´