Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke ambaye yuko katika eda yake kutazama TV?
Jibu: Ndio, ikiwa ni barnamiji yenye kunufaisha katika dini na ´Aqiydah yake. Ama ikiwa ni barnamiji yenye mambo ya batili, ushenzi na madhara, haijuzu kwake kutazama wala kwa mwengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
- Imechapishwa: 08/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related

Mwanamke kutazama TV ndani ya eda
https://www.youtube.com/watch?v=S1U0VLyTAyM Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke ambaye yuko katika eda yake kutazama TV? Jibu: Ndio, ikiwa ni barnamiji yenye kunufaisha katika dini na ´Aqiydah yake. Ama ikiwa ni barnamiji yenye mambo ya batili, ushenzi na madhara, haijuzu kwake kutazama wala kwa mwengine.
In "´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan"
Mwanamke anayeendesha barnamiji kwenye TV
Swali: Ni ipi hukumu ya mwanaume kutazama barnamiji na taarifa za khabari ambazo zinaendeshwa na mwanamke? Jibu: Asimtazame. Asikilize pasi na kutazama.
In "Kazi ya mwanamke"

Mume kuoa mwanamke mwingine ndani ya eda ya mke wake
https://www.youtube.com/watch?v=uVIX_me1aRE Swali: Mtu kama alikuwa na mke akamtaliki. Je, anaweza kumuoa dada yake ndani ya eda yake (huyo mke wake)? Na akifa anaweza kuoa katika hali hii? Jibu: Akimtaliki mke wake, haijuzu kwake kumuoa dada yake wala wanawake wengine isipokuwa baada ya eda, baada ya kwisha kwa eda. Ikiwa ni Talaka…
In "Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz"