Inafaa kuoga maji yaliyosomewa Qur-aan?

Swali: Inafaa kuoga maji yaliyosomewa Qur-aan?

Jibu: Ndio, hakuna neno kufanya hivo. Ni sawa mtu akayanywa au akayaoga.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (17)
  • Imechapishwa: 25/09/2020