Swali: Inajuzu kufaidika kutoka kwa wanachuoni wa Ahl-ul-Bid´ah?

Jibu: Hapana. Jitenge mbali nao. Utapata wanachuoni wa kukutosha wa Ahl-us-Sunnah – Allaah akitaka.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (58) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16539
  • Imechapishwa: 23/09/2017