Swali: Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Imenibainikia baadaye ya kwamba mke wangu haswali. Je, ni lazima kumtaliki?
Jibu: Ikiwa wakati alipomuoa haswali, ndoa si sahihi. Hata hivyo ni lazima kurejesha suala hili kwa Qaadhiy. Mikataba na ahadi zinarejeshwa mahakamani. Zinatakiwa kukaguliwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 14/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)