Imamu na muadhini – nani mbora zaidi?

Swali 162: Nani bora zaidi kati ya muadhini na imamu?

Jibu: Allaah ndiye mjuzi zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 71
  • Imechapishwa: 28/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´