Imamu anamalizia Rak´ah kwa al-Ikhlaasw

Swali 10: Wako baadhi ya maimamu wanaotilia umuhimu kumalizia kwa

قُلْ هُوَ اللَّـهُ أَحَدٌ

“Sema: ”Allaah ni Mmoja pekee.”[1]?

Jibu: Hapana vibaya, wanayo dalili. Ni wenye kulipwa thawabu na si wenye kupata dhambi.

[1] 112:1

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 32
  • Imechapishwa: 19/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´