Imamu amesoma kwa sauti ya kimya kimya katika swalah ya ijumaa

Swali: Swalah ya imamu inasihi ikiwa atasoma Qur-aan kwa sauti ya kimya kimya?

Jibu: Ndio. Swalah inasihi. Kwa sababu kusoma kwa sauti imependekezwa na sio wajibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/de
  • Imechapishwa: 01/10/2017