Imaam at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Tunashuhudia kuwa [Qur-aan] ni Maneno ya Mola wa walimwengu ambayo ameyateremsha roho mtakatifu akamfunza nayo kiongozi wa Mitume Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”
Ni kama tulivyotangulia kusema ya kwamba Qur-aan ni maneno ya Allaah. Ameyasikia Jibriyl na akamfunza nayo Muhammad. Allaah (Ta´ala) amesema:
نَزَلَ بِهِ الرُّوحُ الْأَمِينُ عَلَىٰ قَلْبِكَ لِتَكُونَ مِنَ الْمُنذِرِينَ
“Ameiteremsha haya Roho mwaminifu – juu ya moyo wako ili uwe miongoni mwa waonyaji.” (26:193-194)
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (01/439)
- Imechapishwa: 19/05/2020
Imaam at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Tunashuhudia kuwa [Qur-aan] ni Maneno ya Mola wa walimwengu ambayo ameyateremsha roho mtakatifu akamfunza nayo kiongozi wa Mitume Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”
Ni kama tulivyotangulia kusema ya kwamba Qur-aan ni maneno ya Allaah. Ameyasikia Jibriyl na akamfunza nayo Muhammad. Allaah (Ta´ala) amesema:
نَزَلَ بِهِ الرُّوحُ الْأَمِينُ عَلَىٰ قَلْبِكَ لِتَكُونَ مِنَ الْمُنذِرِينَ
“Ameiteremsha haya Roho mwaminifu – juu ya moyo wako ili uwe miongoni mwa waonyaji.” (26:193-194)
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (01/439)
Imechapishwa: 19/05/2020
https://firqatunnajia.com/imaam-at-twahaawiy-kuhusu-qur-aan/