Ni upi ushahidi wa al-Khaliyliy kwamba watu wa madhambi makubwa watadumu milele Motoni? Hali ya kuwa Allaah anasema:
إِنَّ اللَّـهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ
“Hakika Allaah hasamehi kushirikishwa, lakini anasamehe yaliyo chini ya hayo kwa amtakae.”[1]?
al-Bukhaariy amepokea katika ”as-Swahiyh” yake kupitia kwa Abu Dharr ambaye ameeleza:
“Yeyote atakayekufa juu ya upwekeshaji ataingia Peponi hata kama atazini na kuiba” Alikariri hivo mara tatu.”[2]
Imekuja katika “Swahiyh Abiy Daawuud” ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Uombezi wangu kwa ajili ya watu wa madhambi makubwa kutoka katika ummah wangu.”[3]
Utafiti wa mada hii utakuja wakati wa kujadili dai lake ”kuhusu kudumu kwa watu wa madhambi makubwa Motoni” katika juzu ya tatu ya kitabu hiki.
[1] 4:48
[2] al-Bukhaariy (123).
[3] Abu Daawuud (4/625), na. 2435.
- Muhusika: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd al-Qawiym, uk. 266-267
- Imechapishwa: 11/09/2026
Ni upi ushahidi wa al-Khaliyliy kwamba watu wa madhambi makubwa watadumu milele Motoni? Hali ya kuwa Allaah anasema:
إِنَّ اللَّـهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ
“Hakika Allaah hasamehi kushirikishwa, lakini anasamehe yaliyo chini ya hayo kwa amtakae.”[1]?
al-Bukhaariy amepokea katika ”as-Swahiyh” yake kupitia kwa Abu Dharr ambaye ameeleza:
“Yeyote atakayekufa juu ya upwekeshaji ataingia Peponi hata kama atazini na kuiba” Alikariri hivo mara tatu.”[2]
Imekuja katika “Swahiyh Abiy Daawuud” ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Uombezi wangu kwa ajili ya watu wa madhambi makubwa kutoka katika ummah wangu.”[3]
Utafiti wa mada hii utakuja wakati wa kujadili dai lake ”kuhusu kudumu kwa watu wa madhambi makubwa Motoni” katika juzu ya tatu ya kitabu hiki.
[1] 4:48
[2] al-Bukhaariy (123).
[3] Abu Daawuud (4/625), na. 2435.
Muhusika: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd al-Qawiym, uk. 266-267
Imechapishwa: 11/09/2026
https://firqatunnajia.com/iko-wapi-dalili-yako-ee-al-khaliyliy/