”Ikiwa kesho ni Ramadhaan swawm yangu ni ya faradhi”

Swali: Vipi kuhusu kutokuwa na uhakika katika nia kwa mfano wa mtu kusema:

“Ikiwa kesho ni Ramadhaan basi [swawm yangu] ni ya faradhi, na ikiwa siyo basi [swawm yangu] ni ya Sunnah”?

Jibu: Haisihi, hakuweka nia thabiti.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 126
  • Imechapishwa: 04/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´