Swali: Mtu ana deni la kufunga na hawezi kulilipa isipokuwa tu siku ya ijumaa?
Jibu: Ni bora kuepuka kutokana na ujumla. Lakini ni sawa akifanya, kwa sababu Hadiyth inaelezea kuhusu kuihusisha na swawm ya kujitolea.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 127
- Imechapishwa: 04/03/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali: Mtu ana deni la kufunga na hawezi kulilipa isipokuwa tu siku ya ijumaa?
Jibu: Ni bora kuepuka kutokana na ujumla. Lakini ni sawa akifanya, kwa sababu Hadiyth inaelezea kuhusu kuihusisha na swawm ya kujitolea.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 127
Imechapishwa: 04/03/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ijumaa-ndio-siku-pekee-anayoweza-kufunga/