Swali: Ni upi msimamo wa Shaykh Ibn Baaz na Shaykh al-Albaaniy (Rahimahuma Allaah) juu ya jumuiya ya Ihyaa´ at-Turaath?
Jibu: Shaykh al-Albaaniy ni mwenye kujiweka nayo mbali kabisa. Shaykh Ibn Baaz aliwakataza baadhi ya mambo. Hizbiyyuun ni wenye kutatiza. Wao huwaendea wale Mashaykh wa Ahl-us-Sunnah watukufu ambao wana uaminifu kwao na wanasema: “Ee Shaykh! Hakika Allaah Ametuhakikishia kheri nyingi juu ya jambo hili na tumeenda mpaka Afrika – ukweli wa mambo Afrika wamefarikanisha Umoja wa Waislamu – tumeenda Indonesia, Pakistan na kadhalika. Hivyo Shaykh anawasadikisha. (Shaykh al-Albaaniy) alimradi ´Abdur-Rahmaan ´Abdul-Khaaliq. Na mimi nina uhakika ya kwamba Shaykh (Ibn Baaz) atakapobainikiwa na jambo lao, atajiweka nao mbali.
- Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3661
- Imechapishwa: 14/07/2020
Swali: Ni upi msimamo wa Shaykh Ibn Baaz na Shaykh al-Albaaniy (Rahimahuma Allaah) juu ya jumuiya ya Ihyaa´ at-Turaath?
Jibu: Shaykh al-Albaaniy ni mwenye kujiweka nayo mbali kabisa. Shaykh Ibn Baaz aliwakataza baadhi ya mambo. Hizbiyyuun ni wenye kutatiza. Wao huwaendea wale Mashaykh wa Ahl-us-Sunnah watukufu ambao wana uaminifu kwao na wanasema: “Ee Shaykh! Hakika Allaah Ametuhakikishia kheri nyingi juu ya jambo hili na tumeenda mpaka Afrika – ukweli wa mambo Afrika wamefarikanisha Umoja wa Waislamu – tumeenda Indonesia, Pakistan na kadhalika. Hivyo Shaykh anawasadikisha. (Shaykh al-Albaaniy) alimradi ´Abdur-Rahmaan ´Abdul-Khaaliq. Na mimi nina uhakika ya kwamba Shaykh (Ibn Baaz) atakapobainikiwa na jambo lao, atajiweka nao mbali.
Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3661
Imechapishwa: 14/07/2020
https://firqatunnajia.com/ihyaa-at-turaath-wamevofarikanisha-waislamu-afrika/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)