Swali: Katika baadhi ya maigizo ya mashule wanatumia ndevu za bandia. Je, kunazingatiwa ni katika kuunganisha nywele?
Jibu: Nilifikiri utauliza kitu kingine. Lau ungeuliza kama kitendo hicho kinazingatiwa ni kucheza shere ingelikuwa munasibu zaidi. Umeuliza kama kitendo hicho ni cha sawa. Mimi naona bora zaidi ni mtu kuacha kufanya hivo. Hilo linapelekea wahudhuriaji, au angalau kwa uchache baadhi yao, kuwafanyia mashkhara wale watu wenye ndevu.
Inapokuja katika uchezaji filamu, wanazuoni wa sasa wametofutiana kama inafaa au haifai. Kwa mfano mtu akamwigiliza mtu fulani ambaye amevaa kofia ya manyoya ni aina fulani ya uchezaji shere.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Liqaa’ al-Baab al-Maftuuh (232 A) Tarehe: 1421-01-15/2000-04-19
- Imechapishwa: 28/05/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)