Ibn ´Uthaymiyn kuhusu kuwapa watoto majina ya makafiri

Ni haramu kwa mtu kuchagua majina ambayo ni maalum kwa makafiri. Mfano wa majina hayo ni kama George na mengineyo katika majina ambayo makafiri wanajiita nayo. Hili ni kwa njia ya kujifananisha nao. Mtume (Swalla Allahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yeyote mwenye kujifananisha na watu, basi yeye ni katika wao.”[1]

[1]Abu Daawuud (4031)

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/265)
  • Imechapishwa: 15/03/2023