Ibn Ka´b akiomba kuwa pamoja na Mtume Peponi

14 – Nilimuuliza kuhusu Hadiyth ya Rabiy´ah bin Ka´b al-Aslamiy na ndani imekuja:

”Nakuomba niwe pamoja nawe Peponi.”

Je, mwamuzi wa hili si ni Allaah na si Mtume?

Jibu: Anamuuliza kuhusu sababu za kuwa pamoja naye na kwamba amwombee du´aa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 34
  • Imechapishwa: 24/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´