Swali: Ni ipi hukumu mtu akichukua mkopo ili aweze kuchinja Udhhiyah?
Jibu: Hapana vibaya wala hapana neno. Kama anaweza kulipa na yuko na sababu za kuweza kulilipa ni sawa kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/18856/حكم-الاستدانة-من-اجل-الاضحية
- Imechapishwa: 06/06/2024
Swali: Ni ipi hukumu mtu akichukua mkopo ili aweze kuchinja Udhhiyah?
Jibu: Hapana vibaya wala hapana neno. Kama anaweza kulipa na yuko na sababu za kuweza kulilipa ni sawa kufanya hivo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/18856/حكم-الاستدانة-من-اجل-الاضحية
Imechapishwa: 06/06/2024
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-mkopo-kwa-ajili-ya-kuchinja-udhhiyah/