Swali: Je, infaa kwa imamu kushika msahafu nyuma ya imamu anayekosea katika Aayah za swalah ya faradhi?
Jibu: Amzindue na amfungulie, kama ambavo Ubayy na wengineo walivyomkumbusha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Swali: Kwa hiyo inafaa kwa mswaliji kushika msahafu?
Jibu: Hapana, haitaji msahafu. Hapo ni pale ambapo amehifadhi. Vinginevyo kushika msahafu jambo ambalo litamshugulisha kutokana na swalah yake. Amkumbushe kutoka kwenye hifdhi yake. Vinginevyo haidhuru endapo atakosea. Haidhuru akikosea na kuacha Aayah fulani. Muhimu ni kupatia al-Faatihah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24629/هل-للماموم-ان-يمسك-مصحفا-وراء-الامام
- Imechapishwa: 16/11/2024
Swali: Je, infaa kwa imamu kushika msahafu nyuma ya imamu anayekosea katika Aayah za swalah ya faradhi?
Jibu: Amzindue na amfungulie, kama ambavo Ubayy na wengineo walivyomkumbusha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Swali: Kwa hiyo inafaa kwa mswaliji kushika msahafu?
Jibu: Hapana, haitaji msahafu. Hapo ni pale ambapo amehifadhi. Vinginevyo kushika msahafu jambo ambalo litamshugulisha kutokana na swalah yake. Amkumbushe kutoka kwenye hifdhi yake. Vinginevyo haidhuru endapo atakosea. Haidhuru akikosea na kuacha Aayah fulani. Muhimu ni kupatia al-Faatihah.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24629/هل-للماموم-ان-يمسك-مصحفا-وراء-الامام
Imechapishwa: 16/11/2024
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-mswaliji-kushika-msahafu-nyuma-ya-imamu-katika-swalah-ya-faradhi/