Swali: Nikiwa niko na ndugu ambao haswali na wanafanya maovu nyumbani, mchanganyiko na mengineyo, na siwezi kuwakataza. Je, itakuwa ni wajibu kwangu kuwatembelea?
Jibu: Ikiwa ndugu zakao wanafanya mambo ya maovu, ima uunge kizazi nao kwa ajili ya kuwakataza na kuwapa nasaha. Hili ni jambo zuri kwako ukawatembelea kwa ajili ya kuwakataza na kuwanasihi. Wakipokea nasaha, himdi zote ni za Allaah, wakiendelea na batili yao wakate na usiwatembelee kwa kuwa hawastahiki kutembelewa maadamu wanafanya maovu ya wazi wazi kama ya kunywa pombe, kuacha Swalah na mfano wa madhambi kama hayo ya wazi. Kuacha Swalah ni ukafiri. Ni dhambi kubwa kuliko madhambi makubwa.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=6899
- Imechapishwa: 05/05/2015
Swali: Nikiwa niko na ndugu ambao haswali na wanafanya maovu nyumbani, mchanganyiko na mengineyo, na siwezi kuwakataza. Je, itakuwa ni wajibu kwangu kuwatembelea?
Jibu: Ikiwa ndugu zakao wanafanya mambo ya maovu, ima uunge kizazi nao kwa ajili ya kuwakataza na kuwapa nasaha. Hili ni jambo zuri kwako ukawatembelea kwa ajili ya kuwakataza na kuwanasihi. Wakipokea nasaha, himdi zote ni za Allaah, wakiendelea na batili yao wakate na usiwatembelee kwa kuwa hawastahiki kutembelewa maadamu wanafanya maovu ya wazi wazi kama ya kunywa pombe, kuacha Swalah na mfano wa madhambi kama hayo ya wazi. Kuacha Swalah ni ukafiri. Ni dhambi kubwa kuliko madhambi makubwa.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=6899
Imechapishwa: 05/05/2015
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-kuwakata-ndugu-watenda-maasi-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)