Swali: Je, makatazo ya kufunga siku ya ijumaa ni ya uharamu?
Jibu: Huo ndio udhahiri wa mambo[1].
[1] Ibn Hazm (Rahimahu Allaah) amenukuu maafikiano ya Maswahabah juu ya uharamu. Tazama ”al-Muhallaa” (7/20).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 125
- Imechapishwa: 02/03/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abi Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali: Je, makatazo ya kufunga siku ya ijumaa ni ya uharamu?
Jibu: Huo ndio udhahiri wa mambo[1].
[1] Ibn Hazm (Rahimahu Allaah) amenukuu maafikiano ya Maswahabah juu ya uharamu. Tazama ”al-Muhallaa” (7/20).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 125
Imechapishwa: 02/03/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abi Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-kufunga-siku-ya-ijumaa/