Ibn Baaz kuhusu kufunga jumamosi peke yake

Swali: Vipi kuhusu mtu mwenye kusema kwamba katazo la kufunga jumamosi linahusu kuifunga peke yake?

Jibu: Hapana, Hadiyth inasema:

”… isipokuwa katika yale mliyofaradhishiwa.”

Ingawa ni Hadiyth dhaifu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 127
  • Imechapishwa: 04/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´