Swali 1374: Ni ipi hukumu ya kusikiliza redio na mfano wake ikiwa kile kinachosikilizwa au kutazamwa ni kitu cha haramu?

Jibu: Hakuna neno kusikiliza kile kinachorushwa katika redio kutoka kwenye redio, Hadiyth zenye manufaa au taarifa ya khabari muhimu. Vivyo hivyo yale yanayorekodiwa katika Qur-aan, Hadiyth zenye manufaa na mengineyo. Napendekeza watu watilie umuhimu kusikiliza idhaa ya Qur-aan na barnamiji ya Nuur ´alaad-Darb kwa sababu ya ile faida kubwa inayopatikana ndani yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 561
  • Imechapishwa: 16/08/2019