Swali 73: Ni ipi hukumu ya mtu anayemtukana Abu Bakr na ´Umar?
Jibu: Kilicho karibu zaidi kwangu ni kwamba ni kafiri, kwa sababu Allaah amewaridhia. Vivyo hivyo makhaliyfah wengine waongofu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 48
- Imechapishwa: 15/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 73: Ni ipi hukumu ya mtu anayemtukana Abu Bakr na ´Umar?
Jibu: Kilicho karibu zaidi kwangu ni kwamba ni kafiri, kwa sababu Allaah amewaridhia. Vivyo hivyo makhaliyfah wengine waongofu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 48
Imechapishwa: 15/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-anayemtukana-abu-bakr-na-umar/