808 – Nilimuuliza Shaykh wetu kwamba baadhi ya watu wanasema kuwa wewe ulitamani kuwaona ngamia kwa sababu Allaah (´Azza wa Jall) amesema:

أَفَلَا يَنظُرُونَ إِلَى الْإِبِلِ كَيْفَ خُلِقَتْ

“Je, hawamtazami ngamia namna walivyoumbwa?”[1]

Jibu: Watu wa kawaida hawana hoja. Mimi sikupoteza uwezo wa kuona isipokuwa nilipokuwa na umri wa miaka kumi na tisa na tayari nilikuwa nimewaona ngamia.

[1]88:17

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 291
  • Imechapishwa: 17/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´