Swali: Wamedhihiri baadhi ya Madu´aat wanaosema ya kwamba Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) kafariki naye anasifia na kunasihi watu na Jamaa´at-ut-Tabliygh na al-Ikhwaan al-Muslimuun. Maneno haya ni kweli?
Jibu: Maneno haya si sahihi. Na sisi tulikaa nae zaidi ya miaka kumi hatukumsikia akisifia isipokuwa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah, na akilingania katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Na akinasihi waliokosea katika makundi mengine warejee makosa yao, Tabliyghiyyuun na mengine. Haya ndio nijuayo kwa Shaykh wangu, Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah).
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=133663
- Imechapishwa: 03/09/2020
Swali: Wamedhihiri baadhi ya Madu´aat wanaosema ya kwamba Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) kafariki naye anasifia na kunasihi watu na Jamaa´at-ut-Tabliygh na al-Ikhwaan al-Muslimuun. Maneno haya ni kweli?
Jibu: Maneno haya si sahihi. Na sisi tulikaa nae zaidi ya miaka kumi hatukumsikia akisifia isipokuwa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah, na akilingania katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Na akinasihi waliokosea katika makundi mengine warejee makosa yao, Tabliyghiyyuun na mengine. Haya ndio nijuayo kwa Shaykh wangu, Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah).
Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=133663
Imechapishwa: 03/09/2020
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-akisifia-jamaaat-ut-tabliygh-na-al-ikhwaan-al-muslimuun-kabla-ya-kufa-kwake/