Swali 613: Je, kuvaa pete ni Sunnah?
Jibu: Allaah ndiye mjuzi zaidi.
Swali 614: Je, ni Sunnah kuvaa pete ya fedha?
Jibu: Dhahiri ni kwamba hilo ni katika mambo ya kawaida.
Swali 615: Je, kuvaa pete ya fedha huitwa kuwa ni Sunnah?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliivaa kwa ajili ya haja.
Swali 616: Vipi kuhusu mwanaume kuvaa saa ya fedha?
Jibu: Bora ni kuacha kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 220
- Imechapishwa: 13/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 613: Je, kuvaa pete ni Sunnah?
Jibu: Allaah ndiye mjuzi zaidi.
Swali 614: Je, ni Sunnah kuvaa pete ya fedha?
Jibu: Dhahiri ni kwamba hilo ni katika mambo ya kawaida.
Swali 615: Je, kuvaa pete ya fedha huitwa kuwa ni Sunnah?
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliivaa kwa ajili ya haja.
Swali 616: Vipi kuhusu mwanaume kuvaa saa ya fedha?
Jibu: Bora ni kuacha kufanya hivo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 220
Imechapishwa: 13/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-akijibu-maswali-kadhaa-kuhusu-uvaaji-wa-pete/