Swali: Je, ni sahihi watu wa Najd na Hijaaz wanamtukuza Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) zaidi kuliko maimamu wanne na wengine?

Jibu: Ni nani aliyesema hivi? Yeye ni mwenye kuwafuata maimamu wanne. Yeye ni miongoni mwa wafuasi wa wale maimamu wanne, anawasifu, anawaombea du´aa na anafata mwongozo wao. Yeye si bora kuliko wale maimamu wanne.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ad-Durr an-Nadhwiyd (01)
  • Imechapishwa: 05/03/2025