Swali: Kunamaanishwa nini kunaposemwa al-Baraa´ katika madhehebu ya Ibaadhiyyah?
Jibu: Mujtahid wa ummah, nguzo ya Ummah, Mujtahid wa ki-Ibaadhiy, mkuu, ´Allaamah Muhammad bin Yuusuf Atwfiysh katika kitabu chake kinachoitwa “adh-Dhahab al-Khaalisw”:
“al-Baraa´ maana yake kilugha ni kujiweka mbali na kitu na kujitakasa nacho. Maana yake kishari´ah ni kubughudhi, kutukana na kumlaani kafiri juu ya ukafiri wake.”[1]
Bi maana ukafiri wa shirki au ukafiri wa kukufuru neema ambao ni ufuska. Hivyo ndivyo alivyobainisha katika kitabu chake kingine kinachoitwa “Shaamil al-Aswl wal-Far´”[2].
[1] uk. 45.
[2] uk. 24.
- Muhusika: Abuu Swaalih Mustwafaa ash-Sharqaawiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kuntu ibaadhwiyyaa yaa layta qawmiy ya´lamuun, uk. 16-17
- Imechapishwa: 11/06/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)