Swali: Mke wangu amezaa mtoto na hakutokwa na damu. Je, katika masiku haya aswali au asubiri mpaka uishe muda wa nifasi?
Jibu: Hapana, huyu hana nifasi. Ikiwa hakutokwa na damu ya uzazi sio mwenye nifasi. Hivyo afanye bidii kuswali na asiache.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
- Imechapishwa: 26/06/2020
Swali: Mke wangu amezaa mtoto na hakutokwa na damu. Je, katika masiku haya aswali au asubiri mpaka uishe muda wa nifasi?
Jibu: Hapana, huyu hana nifasi. Ikiwa hakutokwa na damu ya uzazi sio mwenye nifasi. Hivyo afanye bidii kuswali na asiache.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
Imechapishwa: 26/06/2020
https://firqatunnajia.com/ibaadah-kwa-mwanamke-ambaye-hakupata-damu-ya-uzazi/