Swali: Ni lini asiyekuwa mwarabu anakuwa ni mbora kuliko mwarabu?
Jibu: Hukumu katika hilo ni kama alivyozindua Allaah (Subhaanah) pale aliposema:
يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُم مِّن ذَكَرٍ وَأُنثَىٰ وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ اللَّـهِ أَتْقَاكُمْ
“Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana mwanamme na mwanamke na tukakufanyeni mataifa na makabila ili mtambuane. Hakika mtukufu zaidi miongoni mwenu mbele ya Allaah ni yule mwenye kumcha Allaah zaidi.”[1]
Asiyekuwa mwarabu akiwa ni mwenye kumcha Allaah zaidi basi yeye ndiye mbora. Kinyume chake mwarabu akiwa ndiye mwenye kumcha Allaah zaidi basi yeye ndiye mbora. Ubora, utukufu na hadhi inategemea na kumcha Allaah. Yule ambaye atakuwa ni mwenye kumcha Allaah zaidi yeye ndiye mbora. Ni mamoja ni mwajemi au mwarabu.
[1] 49:13
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (05/355) https://binbaz.org.sa/fatwas/1290/%D9%85%D8%AA%D9%89-%D9%8A%D9%83%D9%88%D9%86-%D8%A7%D9%84%D8%A7%D8%B9%D8%AC%D9%85%D9%8A-%D8%A7%D9%81%D8%B6%D9%84-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D9%84%D8%B9%D8%B1%D8%A8%D9%8A
- Imechapishwa: 16/01/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Huyu ndiye mbora zaidi mbele ya Allaah
Swali: Ni lini asiyekuwa mwarabu anakuwa mbora kuliko mwarabu? Jibu: Hukumu katika hilo, ni kama alivyozindua Allaah (Subhaanah) pale aliposema: يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُم مِّن ذَكَرٍ وَأُنثَىٰ وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا “Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamme na mwanamke na tukakufanyeni kuwa mataifa na makabila ili mtambuane.…
In "Imani kwa mujibu wa Ibn Baaz"
Mwanamke kuolewa na ambaye wanalingana naye ngazi
Swali: Je, kunawekwa sharti kule wanandoa kuendana na kulingana (الكفاءة) kwa upande wa nasabu zao? Jibu: Hapana, sio sharti. Walingane kidini: فَإِنْ عَلِمْتُمُوهُنَّ مُؤْمِنَاتٍ فَلَا تَرْجِعُوهُنَّ إِلَى الْكُفَّارِ ۖ لَا هُنَّ حِلٌّ لَّهُمْ وَلَا هُمْ يَحِلُّونَ لَهُنَّ “Na mkiwatambua kuwa ni waumini basi msiwarejeshe [Makkah] kwa makafiri – wao si…
In "Kulingana"
Huyu ndiye mbora wa watu mbele ya Allaah
Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliulizwa kuhusu mtu bora mbele ya Allaah ambapo (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akajibu: "Hakika mbora katika watu ni yule anayemcha Allaah zaidi." Ikiwa unataka kuwa mbora zaidi mbele ya Allaah, basi ni juu yako kumcha…
In "Adabu na tabia"