Swali 228: Vipi kuhusu mtu aliyefahamu najisi, kisha akasahau kisha akaswali katika hali hiyo?

Jibu: Swalah yake ni sahihi kama aliye mjinga.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 92
  • Imechapishwa: 02/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´