Hukumu ya mzee kuswali nyumbani kwake

Swali: Wakati nilipokuwa na gari nilikuwa ni mwenye kuhifadhi swalah zote msikitini. Baada ya hapo nikaiuza. Ni mtu mzee. Hivi sasa amekuwa ni mwenye kuswali nyumbani. Ni ipi hukumu?

Jibu: Hakuna neno. Msikiti ukiwa mbali na anahisi uzito inafaa kwake kuswali nyumbani.

Check Also

Mume anayepuuza swalah

Swali: Dada huyu anasema. Mume wake anapuuzia swalah na anamnasihi. Wakati mwingine anamuuliza: “Je, umeswali?”. …