Swali: Mtu wa kwanza kudai ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametajwa katika vitabu vya kihindi ni Mirza Ghulaam Ahmad al-Qaadiyaaniy. Baadhi ya walinganizi wanarejea katika vitabu vyake na kueneza maneno yake kati ya watu wote. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah?
Jibu: Hapana. Inakutosheleza Qur-aan na Sunnah. Huhitaji vitabu vya Qaadiyaaniyyah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
- Imechapishwa: 19/09/2017
Swali: Mtu wa kwanza kudai ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametajwa katika vitabu vya kihindi ni Mirza Ghulaam Ahmad al-Qaadiyaaniy. Baadhi ya walinganizi wanarejea katika vitabu vyake na kueneza maneno yake kati ya watu wote. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah?
Jibu: Hapana. Inakutosheleza Qur-aan na Sunnah. Huhitaji vitabu vya Qaadiyaaniyyah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
Imechapishwa: 19/09/2017
https://firqatunnajia.com/huhitaji-vitabu-vya-qaadiyaaniyyah/