Swali: Je, ni lazima kumhudumia mke ikiwa yuko na ajira?
Jibu: Ndio. Kazi ni yake na pesa ni zake. Analazimika kumhudumia hata kama atakuwa na mabilioni.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14041434.mp3
- Imechapishwa: 06/04/2023