Swali: Hadiyth isemayo:
“Homa ni fungu la muumini kutokana na Moto.”
Jibu: Sikumbuki kitu juu yake. Kwa hali yoyote ni miongoni mwa sababu za kufutwa makosa. Homa ni miongoni mwa sababu za kufutwa makosa kama yalivyo maradhi mengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22705/ما-صحة-ان-الحمى-حظ-المومن-من-النار
- Imechapishwa: 03/08/2023