Hoja ni maneno ya Allaah na Mtume wake

Swali: Je, kitendo cha wakazi wa Madiynah ni hoja?

Jibu: Kitendo cha wakazi wa Madiynah sio hoja, kitendo cha wakazi wa Makkah sio hoja, kitendo cha wakazi wa Shaam sio hoja wala kitendo cha wakazi Najd sio hoja. Hoja ni yale aliyosema Allaah na Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29000/هل-عمل-اهل-المدينة-حجة-في-الشرع
  • Imechapishwa: 18/05/2025