Swali: Washirikina wengi na wanazuoni wao wanajengea hoja juu ya suala la kuwepo kaburi la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ndani ya msikiti.

Jibu: Wabainishiwe ya kwamba yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) yuko nyumbani kwake na si msikitini. Hoja yao ni mbovu. Wamebainishiwe ya kwamba ni kosa. Vinginevyo ni hoja kwa wenye elimu finyu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24584/رد-شبهة-وجود-قبر-الرسول-ﷺ-في-المسجد
  • Imechapishwa: 07/11/2024