Huyu mmiliki na msimamizi wa chaneli ya “al-Iswhlaah” yeye mwenyewe anaishi katika nchi ya makafiri. Allaah (Ta´ala) ameamrisha kuhama kutoka katika nchi za makafiri ilihai huyu amekaa kitako katika nchi ya makafiri. Ni kwa nini asiwakosoe makafiri na washirikina na akaifanya chaneli yake ni yenye kulingania katika Uislamu na kuwajibu washirikina na makafiri? Kwa nini awatukane waislamu na nchi ya Kiislamu?
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (06)
- Imechapishwa: 23/12/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket