Hivi ndivyo utaona tofauti kati ya mapote na mielekeo

Vipi nitaona tofauti kati ya mapote na mielekeo? Vipi mtu atasalimika na mielekeo hiyo batili?

Jibu: Kwa kusoma vitabu vya ´Aqiydah sahihi vilivyoandikwa na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Kwa njia hiyo ndio utajua mambo haya. Huwezi kujua hili pasina kuvisoma. Mambo yatakuchanganya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20-5-11-1435.mp3
  • Imechapishwa: 19/04/2015