Swali: Je, ni shirki ikiwa hirizi imeandikwa kitu katika Qur-aan?
Jibu: Haijalishi kitu. Sahihi ni kwamba asitundike hata kama ni katika Qur-aan.
Swali: Ni katika shirki?
Jibu: Sahihi ni kwamba ni katika shirki. Baadhi ya wanazuoni wa Salaf wameona kufaa ikiwa ni katika Qur-aan. Lakini Hadiyth zinazokataza ni zenye kuenea na kunaingia za Qur-aan na nyenginezo. Zinajumuisha hirizi zote.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24516/هل-تجوز-التميمة-من-القران
- Imechapishwa: 24/10/2024
Swali: Je, ni shirki ikiwa hirizi imeandikwa kitu katika Qur-aan?
Jibu: Haijalishi kitu. Sahihi ni kwamba asitundike hata kama ni katika Qur-aan.
Swali: Ni katika shirki?
Jibu: Sahihi ni kwamba ni katika shirki. Baadhi ya wanazuoni wa Salaf wameona kufaa ikiwa ni katika Qur-aan. Lakini Hadiyth zinazokataza ni zenye kuenea na kunaingia za Qur-aan na nyenginezo. Zinajumuisha hirizi zote.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24516/هل-تجوز-التميمة-من-القران
Imechapishwa: 24/10/2024
https://firqatunnajia.com/hirizi-ya-qur-aan/