Swali: Kuna mwanamke anauliza na kusema, mume wangu ameoa mke wapili katika mji mwingine na yeye [huyo mwanamke] hajui kuwa ni mke wapili. Je, inajuzu kwangu kumpigia simu na kumwambia kwamba yeye ni mke wapili na mimi ndio mke wa kwanza?
Jibu: Hayakuhusu. Akipunguza haki zako, muombe haki zako. Ama ikiwa hakupunguza haki zako, achana naye. Hayakuhusu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul_25-11-1434_0.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Kuna mwanamke anauliza na kusema, mume wangu ameoa mke wapili katika mji mwingine na yeye [huyo mwanamke] hajui kuwa ni mke wapili. Je, inajuzu kwangu kumpigia simu na kumwambia kwamba yeye ni mke wapili na mimi ndio mke wa kwanza?
Jibu: Hayakuhusu. Akipunguza haki zako, muombe haki zako. Ama ikiwa hakupunguza haki zako, achana naye. Hayakuhusu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul_25-11-1434_0.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/hayakuhusu/