Hayakuhusu!

Swali: Kuna mwanamke anauliza na kusema, mume wangu ameoa mke wapili katika mji mwingine na yeye [huyo mwanamke] hajui kuwa ni mke wapili. Je, inajuzu kwangu kumpigia simu na kumwambia kwamba yeye ni mke wapili na mimi ndio mke wa kwanza?

Jibu: Hayakuhusu. Akipunguza haki zako, muombe haki zako. Ama ikiwa hakupunguza haki zako, achana naye. Hayakuhusu.

Check Also

Kuoa zaidi ya mke mmoja kunajuzu pale mume anajiamini uadilifu

Swali: Tunaomba uzungumzie juu ya kuoa wake wengi na vipi mwanaume atangamane na wake zake? …