Suufiyyah, Mashaykh na wanachuoni wakajitenga mbali na al-Hajjaaj kwa sababu ya ubaya wa chimbuko lake na kupenya kwake ambako utakuja kuyasoma huko mbele. Miongoni mwao wako ambao walimnasibisha na imani ya kusema kuwa Allaah amekita kwenye kila kiumbe, wengine uzandiki na uganga. Watu wapotevu na waliopinda wamejificha nyuma yake na kumuigiliza na wakamueneza kwa wajinga. Tunamuomba Allaah ulinzi katika dini yetu. Suufiyyah, Mashaykh na wanachuoni wakajitenga mbali na al-Hajjaaj kwa sababu ya ubaya wa chimbuko lake na kupenya kwake ambako utakuja kuyasoma huko mbele. Miongoni mwao wako ambao walimnasibisha na imani ya kusema kuwa Allaah amekita kwenye kila kiumbe, wengine uzandiki na uganga. Watu wapotevu na waliopinda wamejificha nyuma yake na kumuigiliza na wakamueneza kwa wajinga. Tunamuomba Allaah ulinzi katika dini yetu.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (14/314)
- Imechapishwa: 08/11/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)