Hawa ndio wanapuuza vitabu vya Fiqh

Swali: Kuna mwanafunzi mmoja amenambia nisijichoshe na vitabu vya Fiqh na badala yake nishikamane na Ahl-ul-Hadiyth wanapatia kwa wingi na wana uchache wa kujikakama. Je, ni sahihi?

Jibu: Fiqh inachukuliwa kutoka katika Hadiyth. Fiqh ya Ahl-us-Sunnah inachukuliwa kutoka katika Hadiyth. Hakuna anayepuuzia vitabu vya Fiqh isipokuwa mtu ambaye ni mjinga au mtu ambaye anadai Ijtihaad leo ilihali uhakika wa mambo hastahiki kufanya Ijtihaad na wala hana masharti yake. Anachoweza tu ni kufuata kipofu, lakini afanye hivo pamoja na kulenga dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/03/2017