Yule ambaye hataki kujeruhi na kusifu, Jarh wa Ta’diyl, haitaki Sunnah. Ikiwa hakuna kujeruhi na kusifu basi itakuwa vilevile hakuna tofauti yoyote kati ya mwema, mlinganizi mwanachuoni anayelingania katika Dini ya Allaah na ‘Aliy at-Tantaawiy, Mahmuuud as-Sawwaaf, Muhammad al-Ghazaaliy, Hasan at-Turaabiy, ash-Sha’raawiy, Raafidhwah na Hasan as-Saqqaaf.
Asiyetaka elimu hii ima ni mjinga au ni mwenye chuki, au anastahiki pia kujeruhiwa ndio maana hataki kujeruhi na kusifu.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 110
- Imechapishwa: 19/04/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)