Swali 128: Je, inasihi ikiwa mtu hatumii mkono wake wakati wa kupenga?
Jibu: Ndiyo, ikiwa lengo limepatikana.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 64
- Imechapishwa: 25/03/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Sunnah wakati wa kuosha pua katika kutawadha
Swali: Sunnah ni kuingiza maji puani kwa mkono wa kuume na kuyatoa kwa mkono wa kushoto? Jibu: Sunnah ni kupandisha maji puani kwa mkono wa kuume, kwani hiyo ni ´ibaadah iliyokusudiwa na kupenga ni kuondosha vilivyo vibaya. Kwa hivyo kupandisha maji puani inakuwa kwa mkono wa kuume na kuyapenga inakuwa…
In "Wudhuu´"
Anaenda mara nyingi kwa daktari na kumfunulia uso lakini hatumii dawa anazoelekezwa
Swali: Huenda hospitalini mara nyingi na humfunulia uso wangu daktari. Lakini situmii dawa anayonipa. Je, nina dhambi? Jibu: Haijuzu kwake kwenda kwa daktari na akafunua uso mbele yake. Midhali humweleza dawa na haitumii, faida iko wapi? Lakini akiwa na haja ya kweli hakuna neno akamfunulia uso wake daktari juu ya…
In "Niqaab, Burqu´ na vifuniko vya mikono"

Kuweka mkono mahali pa maradhi wakati wa Ruqyah
https://www.youtube.com/watch?v=SnJWTFGvR2I Swali: Je, msomaji ataweka mkono wake kwenye kiungo kinachouma cha mgonjwa? Na je, hili limethibiti katika Sunnah kutoka kwa Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)? Jibu: Ndio. Imethibtii kuwa mkono wa msomaji atauweka mahali pa maradhi, sawa ikiwa najisomea mwenyewe au anasomea wengine. Msomaji ataweka mkono wake mahali…
In "´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan"