Swali: Tamthili za kidini na Anaashiyd zinawaidhisha mioyo?
Jibu: Hapana. Zinasababisha ughafilikaji. Mambo haya sio katika njia za Da´wah. Da´wah inakuwa kwa mawaidha, Qur-aan na Sunnah na mfumo uliotendewa kazi na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na walinganizi wakweli. Hatuhitajii mambo haya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 14/07/2018
Swali: Tamthili za kidini na Anaashiyd zinawaidhisha mioyo?
Jibu: Hapana. Zinasababisha ughafilikaji. Mambo haya sio katika njia za Da´wah. Da´wah inakuwa kwa mawaidha, Qur-aan na Sunnah na mfumo uliotendewa kazi na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na walinganizi wakweli. Hatuhitajii mambo haya.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
Imechapishwa: 14/07/2018
https://firqatunnajia.com/hatuhitajii-tamthili-wala-anaashiyd/