Hataki kupita tena njia iliyomsababishia ajali ya gari

Swali: Mtu alipata ajali barabarani na akachukia kupita hapo tena maishani?

Jibu: Hapana, hapana, haitakikani hvio. Asiamini mkosi. Amwombe Mola wake na amtegeme Yeye. Hivo ndio kheri – Allaah akitaka.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24619/حكم-التشاوم-من-مكان-حصل-فيه-مكروه
  • Imechapishwa: 14/11/2024