Swali: Kisomo cha Qur-aan kinafuta madhambi hata kama itapitika kwa mazingatio madogo?
Jibu: Kisomo cha Qur-aan kina fadhila, lakini hakimnufaishi mwenye nacho ikiwa hazingatii. Pasi na mazingatio hakimnufaishi mwenye nacho.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
- Imechapishwa: 19/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)